Habari jf members.nilichomeka modem yangu ya vodafone kwenye usb port ya kompyuta ya mezani,ghafla ikawa ya moto sana,tangia hapo kila nikichomeka kwenye kompyuta yoyote massage hii hutokea 'one of usb device connected to this computer has mulfunctioned'..taa ya blue huwaka kwenye modem ..je modem hii inameza kurekebishwa au ndo imeshakufa jumla.