Help: How to run mac applications in win.

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
16,448
19,627
ndio wakuu niaje? nahitaji ku run softweaz za mac kwenye windows nafanyaje? am aware of vitu kama crossover and wine lakin hizi ni vice versa meaning zinasaidia kurun win apps kwenye other os kama linux.
 

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
16,448
19,627
first of all why do you want to run mac apps on windows?

kuna repair tool flan inaitwa tech tools yakusolve matatizo ya hardware kwa apple products kama ipod etc. sasa nimeidownload ila cna macbook ndomana nahitaj ku emulate
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom