i need to receive e mails direct using my nokia e61i needs help

anno

Member
Sep 28, 2011
55
8
jamani naombeni msaada natumia noki e61i and nasikia kuna uwezekano wa kupata e mail moja kwa moja kama sms za kawaida, bt sijui jinsi ya kufanya ili nifanikiwe hilo zoezi
 

Muangila

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,942
689
hii huduma ipo ila nasikia inatolewa na service providers (mtandao husika) na kwa hapa kwetu cjui km kuna kampuni ya simu inatoa huduma hii anway labda kuna ujanja mwingine tuwasubirie wataalam watudadavulie
 

James St. Patrick

Senior Member
Jun 23, 2011
163
62
Haitolewi na service provider, ila uwezo wa sim! Kuna kitu kinaitwa wizards katika sim ambapo unatakiwa ujaze email addres na password baada ya hapo email utazikuja kwenye menu kuu ya msg ikiwa na jina la gateway husika!
 

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,901
3,086
Hiyo unaset mwenyewe. Mimi kwenye simu yangu ya nokia niliingia message, then nikaselect options halafu kuna sehemu imeandikwa ''add mailbox'' then nikaandika email yangu, na password yake, then ikaisearch kama kweli ipo, finaly ikasema ''new mail box added''

tambua kuwa, mailbox zinazokubalika na Nokia ni kwa email za google, yahoo, msn na hotmail. Nyingine sijawahi kujaribu but nimeambiwa kuwa zinakataa.
 

Museven

JF-Expert Member
Aug 22, 2011
527
241
mimi napata huduma ya email kwenye simu yangu ya Nokia N70 na niliiset mwenyewe. Tuwasiliane nikuelekeze.
 

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,291
1,841
Kama unaongelea kupata emails kwa push kama BB email service. Hii inategemea na provider wako wa emails na software unayotumia kwenye hiyo simu. Sio kila provider anasupport push. Nokia E61 inasupport Microsoft Exchange Push so kama provider wako anasupport Exchange unaeza kutumia hiyo(Nokia Europe - Mail for Exchange - Product support - Support) na ilikuwa inasupport BB Connect kama ukiweza kuipata software yake.

Pia kuna software ya GMail kutoka Google so kama unatumia Gmail labda hii nayo inasupport push nenda m.google.com kwenye simu.

Kama provider wako hasupport push basi unaweza kuset simu iangalie kama kuna email mpya kila 10min au kitu kama hicho so inakuwa fake Push fulani.
 

anno

Member
Sep 28, 2011
55
8
Taks jamaa zangu kwa msaada wenu so subulini nijaribu kuziapply,, mimi natumia g mail,, then museven hw cn i communicate wit ???
 

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
623
267
Mi mbona nilijaribu weka settings kwa nokia e50 ilishindikana. Kuna andjua settings zake anisaidie.?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom