Habari zenu frnds..jaman mwenzenu na2mia windows xp 2002..lakn unakuta hata cjaanza kubrowse megabyt kadhaa zishapotea akat auto update iko off..hata ya antivirus pia..much regards!!
naomba kama kuna mtu yoyote ambaye ni fundi au anamfahamu fundi wa hometheatre system,hometheatre sytem yangu ni Samsung HT-TX25 tatizo lake ni kwenye mfumo wa speaker,Subwoofer haishiki yaani...
Ninataka kwenda kununua simu ila kuna mtu kaniambia muda huu kuwa zipo za tigo za promotion zenye wap. Nataka kununua mpya kabisa dukani. Zinauzwa shilingi ngapi? Anayejua naomba anijulishe.
Hi Guys,
With the fast growing data network i.e IP networks, what do you think will be the future for GSM networks?
I would to hear your opinions and thoughts on this subject.
Thanks,
Elly
WAna JF ninashida na software inayofanana sifa na download manager, mfano ukiplay video kutoka kwenye website inakuletea option ya kuchagua kama unataka kudownload
BAADA YA KILIO CHA MUDA MREFU,LEO NIMEONA NIONGEE NA WATANZANIA JUU YA NAMNA YA KUFLASH MODEM ZA HUAWEI E153. NAONGEA KWA KUJIAMNINI KWA SABABU MIMI SI MUANZILISHI WA HUDUMA HII BALI NI...
Wataalamu,
E-mail yangu ya yahoo imekuwa compromised, na ina information na data zangu za muhimu sana, siwezi kuiaccess tena. naombeni msaada wenu jamani
Wakuu mambo vp? Kuanzia leo Page ya jamii forum kwangu mimi inafunguka vibaya ni bora ile ya awali kwa sisi tunaotumia simu simu ninayotumia ni Nokia E61i ni tatizo kwa wote tunaotumia simu au ni...
Steve Jobss Dad Regrets AdoptionSteve Jobss biological father, Abdulfattah John Jandali, told the New York Post last week that hes never met his son. "I'd be lying if I said it doesn't sadden...
Wadau naomba kujua huku kwetu umeme huwa unakatika na kurudi ila mara nyingi huwa nachaji laptop pind umeme ujapo kwa utulivu ila mara nyingine nikichomeka tu hii charger huwa unatoka mlio kwa...
BizTogether ni business social network ya Tanzania ambayo inawaunganisha watu wote kujadili kuhusu biashara zao, kutafuta masoko, kutafuta bidhaa, kushare vitu mbalimbali vya maendeleo...
ndio wakuu,bila kupoteza mda napenda kufahamishwa zaidi juu ya hii kitu ya epiq nation. kuna ma discount kibao kwenye places kama samkisamaki etc. ila nikavutiwa kusikia na kitu cha bills bure...
HP Unveils New Slate PC
Hewlett-Packard unveiled its first product for the fast-growing tablet market, a $799 (570) device running Microsoft Windows that is aimed at business customers...
RIP Steven Paul "Steve" Jobs (February 24, 1955 October 5, 2011)
I see the world where technology is so advanced that you dont need to go arround with hardware! A world where every information...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.