Jinsi ya kuflash modem za huawei e153

jozzb

Member
Jun 30, 2011
87
20BAADA YA KILIO CHA MUDA MREFU,LEO NIMEONA NIONGEE NA WATANZANIA JUU YA NAMNA YA KUFLASH MODEM ZA HUAWEI E153. NAONGEA KWA KUJIAMNINI KWA SABABU MIMI SI MUANZILISHI WA HUDUMA HII BALI NI MTAFITI TU.HIVYO HAKUNA SHERIA YOYOTE ILE INAYONIBANA KWA KUANDIKA JUU YA TECHNOGY NINAYOIJUA AU NILIYOJIFUNZA.MITANDAO MINGI SANA IMEKUWA IKIELEZEA,HIVYO ANAYEDHANI KUNA HAJA YA KUFANYA HIVYO,BASI AANZE KWA KUWACHUKULIA SHERIA WAO.

HATUA ZA KUFUATA ZOTE ZINAPATIKA HAPA IKIWA NI PAMOJA NA SOFTWARE
<<HUWEI E153>>

 

Zasasule

JF-Expert Member
Aug 12, 2009
1,002
103
kwa nini ucweke hapa,hizo procudures? je wewe have u tested it?is it really working? why hujaweka download link ya hiyo application inayotumiaka kudownload?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom