Very interesting social network imeanzishwa. Hebu cheki

Kiwa

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
2,102
896
BizTogether ni business social network ya Tanzania ambayo inawaunganisha watu wote kujadili kuhusu biashara zao, kutafuta masoko, kutafuta bidhaa, kushare vitu mbalimbali vya maendeleo vinavyoendelea duniani, kutangaza biashara yako na kampuni yako bure. jiunge sasa ufurahie matunda ya watanzania. najua utafurahia. kujiunga tumia www.biz2geza.com
 

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,758
437
Biashara utangazwa kwa pesa.nakushauri kwanza kabla ya mtu kujisajiri nini kinamvutia hapo.
 

flexyps

Member
Jul 28, 2011
40
7
y do we waste most of the time being reactive instead of bring creative watu mmeona fb imeshika basi kila mtu anataka kuanzisha social network re think kuna mengi unaweza ukafanya kama ukiacha uvivu wa kufikiri and this is the biggest barrier in our country.
 

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,938
1,427
Hongera sana
Sana lakini kama umenazisha hicho kitu bila kufuata System development process kama umeasiaha hichokitu bila kuwa na plan Utapata shida sana.

TuSome historia ya system kama FB ilianza kama project ya darasa then ikaja kuwa ya shule then ikaja kuwa ya shule kadhaaa. Sasa kama unaazisha system unataka ianze ghafla bin vu soko lenyewe la user wa Kitanzania ni dogo mhhh. Sasa hata kama kuiga FB basi ungaisha hata class mates wte wa sekodary au chuo darasa fulani Hapo ndio utakuwa mwanzo mzuri.

Jaribu kucheki maswali haya kama unayo majibu yake kuhsu system yako Then ongeza na megine mengi hasa kuhusu user unaotegemea.
 

kikahe

JF-Expert Member
May 23, 2009
1,350
279
Nafikiri ane market hiyo network ndiyo huyo alieanzisha hii post
 

T.K

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
345
75
Aisee umenipotezea muda wangu wa kujiregister kituambayo hata kuregister inagoma...hebu jifanye new user halafu jaribu kujiregister
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom