Epiq nation

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
13,436
2,000
ndio wakuu,bila kupoteza mda napenda kufahamishwa zaidi juu ya hii kitu ya epiq nation. kuna ma discount kibao kwenye places kama samkisamaki etc. ila nikavutiwa kusikia na kitu cha bills bure. sasa unaanzaje tu kwenda pale kusema mimi member wa epiq niachen niingie bure
 

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
336
225
tatizo zantel ubabaishaji mwingi, mi kwanza sijaona hata tofauti ya epiq nation na zantel high life club. kesho utasikia wanakuja na jina lingine.
 

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,369
2,000
Katofauti kapo...ile ya kwanza wali~aim CORPORATES ila hii ya sasa wame~aim Junkies aka vijana...
 

bigboi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
640
1,000
unafaham chochote kuhusu epiq nation?


KELELE ZOTE ZA EPIC NATION
What we are offering:
For Tsh 500 a day you get:
• Free 15 minutes Zantel-Zantel daily 

• Free 300 SMS to any local network daily 

• Free GPRS Internet browsing 24 hours 

• Free 50 MMS daily
• Free RBT downloads daily 

• Zantel to Zantel calls for just 10 cents/sec (TSH) all the time 

• Free cool games for your mobile

AINT THAT A BITCH NJOO NA OFFER ZA MAANA THE ONLY THING I LIKE ABOUT EPIC NATION NI COMMERCIAL SONG YAO BASSSSSSSSSSSSS OTHER THAN THAT TOTAL BULLSHIT PELEKEN HIZ OFFER KWA WAZANZIBAR HAPA BONGO HAMPATI KITU
 

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,076
2,000
mimi naona nawasupport epiq nation but nilijiunga kwa siku mmoja then nikajitoa kwasababu niliona haina jipya just mb50 kwa modem ni ndogo sana. hivi zantel mbona packages zao ni ghaali sana hali zinaisha haraka sana.
 

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
13,436
2,000
mimi naona nawasupport epiq nation but nilijiunga kwa siku mmoja then nikajitoa kwasababu niliona haina jipya just mb50 kwa modem ni ndogo sana. hivi zantel mbona packages zao ni ghaali sana hali zinaisha haraka sana.

ila kuna bata flan mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Similar Discussions

Top Bottom