China wanatengeneza karibia simu zote duniani, kuanzia iPhone original, iPhone feki, simu zao wenyewe ambazo hazina brand name "Simu za Kichina" etc pia sheria za copyright na patents haziheshimiwi sana China ndo maana inakuwa rahisi kwao kufyatua vitu feki.