Nijuze kuhusu software

Nijuze kuhusu software

NGOGO CHINAVACH

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
943
Reaction score
373
WAna JF ninashida na software inayofanana sifa na download manager, mfano ukiplay video kutoka kwenye website inakuletea option ya kuchagua kama unataka kudownload
 
kama unatumia mozilla firefox jaribu kuadd add-ons, nenda kwenye tools,thn add-ons halafu search for dwhelper,youtube downloader, au tumia generic keyword video downloader.... Ila kwa ushauri wangu kwanini usitumie hiyo hiyo internet dowload manager (idm) ni nzuri sana coz inadowload kila aina ya dowloadable file kutoka kwenye internet
 
kama vipi tumia you tube download manager its real great yani mimi kila video mpya ya ikitoka kama iko kwenye internet ninayo lazima ni idownload
 
Back
Top Bottom