Naomba Msaada. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Msaada.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Sumu, Oct 7, 2011.

 1. S

  Sumu JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,233
  Likes Received: 3,220
  Trophy Points: 280
  Ninataka kwenda kununua simu ila kuna mtu kaniambia muda huu kuwa zipo za tigo za promotion zenye wap. Nataka kununua mpya kabisa dukani. Zinauzwa shilingi ngapi? Anayejua naomba anijulishe.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu nenda kwenye maduka yao au fanya utafiti hukohuko maduka..
   
 3. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ni bora ukaufata ushauri wa ndechitia utakusaidia sana
   
 4. S

  Sumu JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 6,233
  Likes Received: 3,220
  Trophy Points: 280
  Nashukuruni wakuu, kesho nitaenda ila nia yangu ilikuwa ni kupata clue ya hizo simu kwa mtu anayezijua cause kesho nitaenda halafu nizione nisizipende then nitakuwa nimepoteza muda wangu bure. Hakuna mfanyabiashara atakayekwambia bidhaa yake ina matatizo. HII NDO ILIKUWA MAANA YANGU. Thanks though, USIKU MWEMA.
   
Loading...