Wakuu laptop yangu nikifunfua web ya jf kwenye kupost thread inakua haionyeshi zile icon za kubadilisha langi na kuongeza ukubwa wa maneno na nyinginezo, tatizo ni nini? Imeanza tangi juzi na...
Habari yenu wadau wa Tech,nimepata kawazo ka kutaja vitu tajwa hapo juu ili kusaidia na wale wanaotaka kujua upatikanaji wa 3G signals za internet za maeneo tofauti tofauti nchini.Hii nadhani...
Simu za mkononi, Television Receiver ,Radio, Computer/Laptop ni baadhi ya vyombo tunavyotumia kupata na kupashana habari
Ukifuatilia ubunifu unaoendelea utaona kadiri siku...
waungwana wenye ujuvi na weledi wa kutosha katika masuala ya luninga na matangazo, naomba mnijuze kuhusu majina ya aina ya matangazo ktk luninga, m.f Jina la tangazo linaloingia baada ya habari au...
Wakuu
Hivi kwa nini serikali na wasomi wa vyuo vikuu kama UDSM na vinginevyo Tanzania hawatoi paper na kufanya tafiti kuhusu mada ya uchawi. Hapa naongelea uchawi unaaoonekana ni wa...
Wakuu hii ni compilation ya baadhi tu ya tricks nilizowahi kukutananazo katika pitapita zangu sehemu mbalimbali online..si kwamba nimeziandaa mimi nikuwa niliwahi kuzicopy an kuzihifadhi kwa...
Shy na wenzako,
natafuta web host kwa ajili ya personal website itakayokuwa na issue za shule kwa wanafunzi. Nataka nijue bei ya kuhost website na pia gharama ya domain registration. Web design...
Leo ni siku ya nne tangu nilipojinyima na kuweka bundle la elfu 30 kwa ajili ya kutumia internet mwezi mzima,hapa najuta hiyo hela kwa nini sikwenda kuila nyama internet iko very poooooor and very...
Many of you get your mobile phone wet by one way or another. You worry as you mistakenly drop your mobile phone in water. It can also get wet if you are out in a heavy rain. However, there is no...
swalama wakuu? tatizo langu ni moja,my hp 630 laptop which z stil new imeanza kuzingua kaya. nikitaka kukopy file kutoka location moja kwenda nyngne inaniletea hiyo error message hapo juu. je hii...