Wakuu tatizo kwenye laptop yangu nisaidieni

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Wakuu laptop yangu nikifunfua web ya jf kwenye kupost thread inakua haionyeshi zile icon za kubadilisha langi na kuongeza ukubwa wa maneno na nyinginezo, tatizo ni nini? Imeanza tangi juzi na nashindwa kupost threa au kuchangia, hapa nimetumia komputa ya mtu.
 
Unatumia Web Browser ipi? Google chrome ,internet Explorer au Mozilla fire fox? jaribu kubadilisha ikiwa unatumia Web Browser internet Explorer tumia Google Chrome la kama unatumia Google chrome tumia MozillaFirefox hebu fanya hivyo huenda matatizo yako yataondoka huo ndio ushauri wangu.
 
kabla ya kuihukumu labtop yako fanya uchunguzi kidogo, fungua site nyingine au tumia computer zingine kufungua jamii forums then uone, ili ukija hapa uwe na swali zuri linalo onyesha atleast umejaribu kidogo..... then watu wengine wataanzaia hapo ulipo fikia wewe:spy:
 
Unatumia Web Browser ipi? Google chrome ,internet Explorer au Mozilla fire fox? jaribu kubadilisha ikiwa unatumia Web Browser internet Explorer tumia Google Chrome la kama unatumia Google chrome tumia MozillaFirefox hebu fanya hivyo huenda matatizo yako yataondoka huo ndio ushauri wangu.

mkuu nikweli kama anatumia google chrome mimi mwenyewe shida kama hiyo nili iexpiriensi jana! ikabidi nijaribu fire fox ikawa kawaida sijajua inasababishwa nanini?
 
Hebu angalia java script option,huwenda uliizima bila kujijua,kama iko off just turn it on!
 
Back
Top Bottom