matatizo kwa server

aus

Member
Dec 18, 2011
9
0
mimi nina server the intel shida yake ni kwamba unapoiwasha itawaka kwa muda wa dakika 5 au mbili halafu inawaka taa ya red ikiwa inamanisha kuna tatizo lakini limejaribu ku clear bios bado tatizo linaendelea ..
cha kushangaza itawaka mpka inapotaka bu boot kwenye operating system ndo inakataa
 
Server ya intel ina maana intel ndio brand ya server au chip? Soma manua au nenda kwenye website ya server kama ni IBM, HP kulingana na model download manual yake kisha soma troubleshoting.

Otherwise fafanua zaidi specs na model za hiyo server tukupe tafu ya ku gooogle.
 
ni vema ukaeleza kinaga ubaga kilitokea nini na tatizo limeanzaje! Maelezo yako hayatoshi ukizingatia ukweli kuwa hatuioni server yako!
 
motherboord yake ni ya Intel na shida ilianza kwa kukatika kwa umeme mara kwa mara lakini ha kushangaza ni kwamba shida ya umeme tumesolve lakini tatizo linaendelea kujitokeza
ni hiyo server ya juu inayoonesha red DSC02288.JPG
 
Inawezekana tatizo la umeme kukata kata ilisababisha server kuweka some errors kwenye ROM pengine ndio maana inaleta shida. Go to manufacturer's website udownload BIOS upgrade kwa ajili ya server yako then flash the BIOS halafu uangalia kama tatizo limetatulika
 
Unatumia OS gani? na hiyo taa inyowaka nyekundu nafikiri imeandikwa ni ya nini, tuambie
 
kikawaida computer yoyote ile ina taa niongini mwa hizo huonyesha utendaji wa HDD ,power lakini hii server inaonesha red taa zote.
kumbuka hiyo machine ni server ya intel na ipo picha yake hapo juu
 
Back
Top Bottom