asante kaka, ila nimecheki hiyo link nadhani sio ile niliokuwa nayo,ile ilikuwa ya ukweli sana,inakubali karibu modem zote, ngoja nicheki then ntaku update, ila nshaona comments za watu wanasema modem mpya za tigo bado ni shughuli kwe hiyo software yao