Uhunzi na uchongaji, uchoraji tanzania

Uhunzi na uchongaji, uchoraji tanzania

Zing

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
1,767
Reaction score
470
Wakuu hivi hali ya hizo fani au sijui nizeme vipaji au urithi wa teknolojia kwa baadhi ya makabila Tanzania upo au unapotea na kuteketea.

Kwenye mkutano wa rais JK na vyaa vya upizani pale ikulu niliona baadhi ya picha za kuchora ukutani Nikawa najiuliza hivi zle pichaa ni sanaa ya mtanzania gani.

Je uhunzi wa vinyago na sanamu Tanzania ni saaa inayoendeea au imedumaa.?

Ni chuo gani au tasisi gani inatoa mafunzo, ushauri ya uhusnzi na sanaa za mikono ili wale na jmii zenye vipaji waende na wakati na wajue teknoljia ya sasa inawezaje kuwasaidiaje katika kukuza ubunifu wao?
 
Back
Top Bottom