Software crack imegoma!

mzee wandimu

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
470
229
:alien:wakuu wa hili jukwaa ,heshima yenu!
nimekadownload haka kasoftware ile kanamaliza kakaliwa na antivirus,natumia ms security esseciantials. so hii inamaanisha kana matatizo au nini? msaada wakuu!:alien:
 
It depends katika threat imesemaj? Kama ni threat au hacking tool ni safe. Mse anadelete na kuona threat at any patch or keygen lakini they are safe. Just stop protection use the crack.. Delete the crack.. And then enable protection tena
 
mara nying antvirus nying hudetect cracks kama viru hii hutokana na generation yake ivo unatakiwa kudis able ant v kabla thn unainstall baada ya hapo una activate ant v yako
 
maranyingi huwa una disable antivirus baada ya ku install una enable
ukiwa na imani kuwa hawa jamaa hawaku embbed malicious code yeyote. Ni risk kubwa sana kuwaamini hawa jamaa. Kama wame crack mali ya mtu nini kinakufanya uwe na imani yao. Simple solution ni aidha kununua legitimate au tafuta free alternative!
 
asante mkuu!
 
Back
Top Bottom