Mitandao ya simu sasa kwishinei

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Wakuu nimeikopi toka kule Twitter kuna watu walikuwa wanaijadili

Hii hapa!!

Burekingi Nyuzi: Kama unapenda kupiga simu za bure tumia viber, unahitaji 3G enable handset or wifi kwa simu yako ( http://t.co/qWBK8hPJ )
 
Ina fanya kazi kama nyote mnaopigiana simu mna Viber (apps). Viber kwa Viber simu ni bure popote duniani pamoja na SMS lakini kama uko sehemu internet haipo fresh, hamsikiani vizuri.
 
Ina fanya kazi kama nyote mnaopigiana simu mna Viber (apps). Viber kwa Viber simu ni bure popote duniani pamoja na SMS lakini kama uko sehemu internet haipo fresh, hamsikiani vizuri.

mbona mnaleta maneno ya maana halafu mnatoa maelezo kama mnakimbizwa jamani. Hebu tupe ufunuo hatua kwa hatua.
 
Haaaaaaaaaaa wenye handset za iphone na Android tu ndo wanaweza install viber na lazima uwe na 3G au Wi-fi.................
 
mbona mnaleta maneno ya maana halafu mnatoa maelezo kama mnakimbizwa jamani. Hebu tupe ufunuo hatua kwa hatua.
Mbona mwalimu kaelezea kirahisi tuu,

Ni hivi wewe na unayempigia kama mnasimu ya ambayo inaweza ku-run program/application ya viber basi mnaweza kuongea bure hata kama mwenzako yuko nje ya nchi.

Kwa kifupi siyo lazima uwe na simu hata kama una ipod ambayo inakamata wifi (internet ya bure) na mwenzio ana ipod/ simu/computer yenye application ya viber au hata skype basi mnaweza kuongea bure.
 
Hiyo neema! Sasa ntasherekea 50 ya uhuru walau kwa amani kidogo.
 
Hii dhana ya free phone siyo kweli bado utalipia data transfer kwa sababu app inatumia mfumo wa internate. Data transfer up and down ni wastani wa 240 kb per min ua 14 mb per hour. Hii ni rahisi kuliko simu ya kawaida.
 
sioni jipya hapo ni kama skype na skype ukitumia kwenye handset to handset yenye skype mnapiga story kama kawaida ili mradi kuwe na connection nzuri ya internet.
 
sioni jipya hapo ni kama skype na skype ukitumia kwenye handset to handset yenye skype mnapiga story kama kawaida ili mradi kuwe na connection nzuri ya internet.

Tofauti ya Viber na Skype nadhani ni kuwa Viber inatumia phonebook yako moja kwa moja...

Na mtu alokuwa kwenye phonebook yako akijiunga tu na Viber huko alipo, itajionyesha kwenye Viber bila ya kuwa lazima umu-add wewe au umuulize.
 
ya kwangu ina 3.5G ngoja niijaribu. Ila naona ni kama skype tu ila skype wao wamepungukiwa free sms kwenda kwenye mitandao mengine ya simu, hapo ni mpaka ulipie
 
Mpaka sasa sijaelewa....

hahahaha.. katavi..i know .. i know .. hii ni ngumu..! kumeza

actually hii kitu haina tofauti na skype! but viber ina acesss phone book yako ... mfano ukisha install viber app .. kama kuna mtu kwenye phone book yako anatumia viber anapata allert kwamba "ebana katavi anatumia hii kitu kama vipi mu add" kumbuka ukiistall viber itakuuliza uingize number yako ya simu ...

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
 
SKYPE, VIBER na makolokocho mengine hayo yote kama Gmail call/ sms chart yanahitaji pia uwe na device iliyokuwa connected kwenye internent kama simu au laptop. Hizi huduma zipo kwa nchi zilizoendelea ambapo huduma ya "Intanenti" si tatizo la kitaifa kama kwetu..... Hata hiyo WIFI utapata wapi BONGO bila kulipia ? Hiyo internenti yenyewe ni lazima ununue huduma toka kwa kampuni inanyotoa huduma hiyo na simu zote za mkononi huduma za internenti zinatolewa na makampuni ya simu..,sijaelewa hapa huo"ubure" wa huduma mnaozungumzia unataoka wapi!!!
 
Mkuu weka basi hiyo link ya viber ili tui downlod kama inawezekana na jee uki downlod ni free au lazima uwe na key zake? Please do ze nidfulu.
 
Back
Top Bottom