Govt to spend 300Bn. on National Fibre-Optic Network

BabuK

JF-Expert Member
Jul 30, 2008
1,845
329
THE government will spend over 300bn/- on laying the national fibre-optic network, the Minister of Communications, Science and Technology, Prof Makame Mbarawa, has said.
The minister said the plan is to connect the whole country, with the cable reaching each district before the end of 2012. Prof Mbarawa said this at a meeting with senior government officials in Rukwa, adding that over 10,000 km distance would have been networked by next March.


The project is financed jointly by China and Tanzania with the former dishing out over 170m USD and the latter over 30bn/-.

The project will reduce costs for operators and boost connectivity in the country thus benefiting individuals and institutions, he said.

According to the Minister, phase one of the project has already been carried out in which 19 regions and 59 districts have been connected, while the remaining Lindi , Ruvuma, Kigoma, Rukwa and Mbeya would be covered in the next phase.

Prof Mbarawa said, upon its completion, the project would open more doors for computer users as language will no longer be a barrier.

According to him, the government is committed to promotion of Information and Communication Technology (ICT) application in various fields including e-learning at different levels of education.



"We will from next financial year set aside a budget for the implementation of the Tanzania Beyond Tomorrow (TBT) project in which through ICT a teacher can teach many students in various regions at a time.

"This will, to a large extent, reduce the problem of teachers' shortage," he explained.



However, the minister challenged the relevant authorities to protect the project from being vandalized by unscrupulous people because once damaged, it will cut off not only those in the concerned region but the whole country. On her part, Rukwa Regional Commissioner Stella Manyanya lauded the government for timely implementation of the project.


Source: Daily News
 
good news kwa sisi internet addicts lakini je itakuwa kama ilivyopangwa au ndio itakuwa bora kama ilivyo sasa..
 
Hizi strory zimeanza kuzungumzwa 2007. need to see working systems, am tired of endless stories
 
good news kwa sisi internet addicts lakini je itakuwa kama ilivyopangwa au ndio itakuwa bora kama ilivyo sasa..

Kumbuka hiyo ni kama super highway imejengwa, vipi mtaitumia ni nyinyi waendeshaji na sio waliopanga.

Hayo ndio mambo ya JMK.
 
hii ni wastage of resources tu,kwa mfano mimi ni mkazi wa mji ambao mkongo huu umepita tangu mwaka juzi,kwa kifupi hakuna mabadiliko yoyote ,kampuni ya umma ttcl ambayo imekabidhiwa usimamizi wa mkongo huu haijaboresha huduma kutoka kwenye terminal zao kwa mteja mmoja mmoja, mimi nilitegemea wakazi wa miji ambayo mkongo huo unapita watanganishwa kwa njia ya wifi au wimax kwa spidi kubwa na bei ndogo lakini mpaka leo njia ya kupata net ni aidha uende kwenye cafes ambazo wana masharti magumu no any kind of downloading,speed ndogo,net inakatika katika, na bei kubwa au alternatively utumia modem za simu za mkononi ambazo zina gharama kubwa. Kama huduma zenyewe ndiyo hizi ni afadhali serikali ingetumia fedha hizo kwa matumizi mengine kwa mfano kama kuweka lami kwenye mikoa ya pembezoni. Ushauri wangu govt ingeunda mamlaka ya mkongo wa taifa na kupata wataalam hata nje ya nchi wenye uwezo na upeo mkubwa siyo kama ttcl.tujaribu ku learn kwa nchi nyingine kama s korea wamefanikiwa vipi.
 
Nachelea kusema this is crap...............
Hii imekua hadithi sasa, hayo mabilioni ni miradi ya watu
 
Hakuna chochote hapo hata hiyo digitali ya televisheni na yenyewe itakuwa hivyohivyo.
 
Ni mikoa gani na wilaya gani hizo anasema zimeshakuwa connected....na kwa njia na gharama gani kwa individual users?...mimi nilitegemea through that Fibre-optic willaya zote za miji mikubwa kama hapa kwetu Dar zitakuwa connected through the WIMAX tech for instance, kwamba mtu popote pale alipo ndani ya jiji aweze ku-loggin na kua-access internet so long as he has paid for it...lakini mpaka dak hii internet service hapa mjini chenga mpaka imefikia mahali mitandao ya simu through modems zao wamekuwa ndo providers wakuu wa internet kwa individual users hapa mjini! UWIZI MTUPU.
 
hawa viongozi wetu kwa kutupa story tamu wanaongoza ila kwa vitendo wana shika mkia.Arusha,Dar huu mkonga umepita ila service yake ni mbaya ukilinganisha na wenzetu wa kenya service nzuri na bei nafuu
 
Back
Top Bottom