Hii vipi . . . inazingu. . . !

Hii vipi . . . inazingu. . . !

Hkeen

Member
Joined
Aug 17, 2011
Posts
95
Reaction score
4
Salute kwenu wakupwa, ninamkanganyiko na hii moderm (zte: ya vodafone) yangu, pini ninapo ichomeka kwenye laptop yangu inaanza mchakato ikitaka kufunguka inaandika "rolling back" alafu inakurudinyuma na kujifuta. Nimejaribu mara kadha bila mafanikio, NAOMBENI YULE MWENY WELEDI NALO HILI ANIJUZE, kwani hii intanet n kitu feruzi kwangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom