Msaada wakuu.

Msaada wakuu.

mtemiwaWandamba

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Posts
561
Reaction score
223
Jinsi ya kuondoa tatizo la kukatika katika kwa muziki kwenye you tube. tafadhalini.
 
kama unatumia wireless modem basi jaribu kuangalia mtandao ambao una speed nzuri, atleast download speed isiwe chini ya 1.2mpbs
 
Jinsi ya kuondoa tatizo la kukatika katika kwa muziki kwenye you tube. tafadhalini.

tatizo la kukatika katika kwa video au mziki wakati wakati wa kuangalia au kusikiliza mziki online husababishwa na internet connection yako kuwa slow. Njia pekee ya kutatua hilo tatizo ni kuupgrade ktk bandwidth ambayo inaendana na matumizi yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom