biNu ni application ya simu ambayo inakuruhusu kutumia services nyingi za mtandaoni huku ikipunguza matumizai ya data, hivyo kuokoa gharama.
Binu inapatikana katika simu nyingi ambazo ni feature...
Kwa siku kadhaa, nimetembelea kwenye blogu, tovuti na forums mbalimbaliza IT, majadiliano makubwa huko ni kuhusu ujio wa Windows mpya, kila mmoja akiongea kwa maono yake na wengine wakicharuana...
Africa has its first handheld tablet to rival the iPad and similar western inventions, which went on sale in the Republic of Congo on Monday, its inventor Verone Mankou said Monday.
"We have set...
jaman naombeni msaada, i installed avira antivirus kwenye dell inspiron, kabla haijangia yote something went wrong na laptop ikazima. sasa haitaki kutoka wala kuinstall nyingine, nifanyaje?
Wajuvi naomba ufafanuzi juu ya vifaa tajwa hapo juu yaani ipad,iphone na ipod!kwani nimeishiwa kuchanganyikiwa nisijue matumizi yake hasa ni nini?je zinafanya kazi kama simu ama ni vifaa tu...
Nilinunua simu aina ya Nokia 5230 Uingereza, ila imekuwa sim-locked kwa mtandao wa 3. (Hutchison 3G UK). Nimeflash simu zaidi ya mara tatu, lakini sim-lock haitoki, wadau nisaidieni.
IMEI...
If you are a BSNL broadband user, chances are that you are facing frequent DNS issues. Their DNS servers are just unresponsive. The look up takes a long duration and many times just time out. The...
Wakuu naombeni msaada,nataka ku update bluetooth driver kwenye acer travel mate 2490,nimejaribu kupitia softpedia.com naona imenigomea,je kun mtu yeyeto anaweza kunimwagia msaada wakuu?
Mimi ninatumia Computer yangu ya mezani Desktop Computer nina share na wenzangu wawili nyumba tofauti yaani majirani zangu kwa ajili ya kulipa internet Connection na Speed yangu ya internet ni...
Developer is needed for developing component of a bigger project. Note that You will be selling the codes and code rights. It is targeted for experienced people who will use short time and hence...
Mwana jamii, tumemaliza kudesign tovuti yetu http://tanzcn.com/ ambayo lengo ni iwe link kwa Tanzania na China, kama mutaangalia mutaona kwa sasa kila kitu ni made in China, hivyo hatuwezi kuepuka...
NIMEFUNGA LNB Ku Band Juu ya C-band ya local Tv nimepata Emmanuel Tv na nyngne nyng nimeweka Freq za 12722 hor SR 26657 nimepata Package ya My Tv africa nzima (kama ilivo DSTV, GTV STARTIMES NK.)...
Wakuu naomba mnipe ushauri wa kiatalamu, pc tajwa hapo juu inatokea kitu (nasikia) inaitwa blue screen mara kwa mara hasa nikiwa kwe net, je hii pc ndo bye bye au? msaada kwe tuta tfdhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.