Msg inasema"we have an important msg for you to know it call this number 004238770736 free. Shida yangu nahitaji kujua hizo namba za nchi gani? Na vodacom nao wana share na hao?
sina shaka kabisa kwamba hao ni wapigaji tabu yangu ni jinsi tcrs walivyo tuhamasishaga ku sajili namba zetu ili kuzuia uhalifu.sasa huu sio uhalifu?
nimekupata kiongozi.je? kama wana jamiiforums,ndani ya jukwaa la educational,science and technology, hatuwezi kuzua hoja na kujiuliza kwanini msg hizi wametumiwa wateja wa vodacom pekee ?tcra wanahusika tanzania, hiyo number si ya kwetu hapa tz
hata mm niliipata!ila sikuhangaika!manake najua watanizingua tuu!kuambiwa umeshinda Lottery wakat hujawah kucheza!
mim leo axubuh wameni2mia ile kupga pexa yote ikaisha
mbona mm wamenitumia mpaka vocha jamani hata sielewiInaonesha vodacom wanahusika maana ni watumiaji wengi wa voda ndo waliyopata msg hii.