blackberry codes

blackberry codes

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,300
Reaction score
103,518
Hey people nisaidieni codes za blackberry
 
Yaani nataka kucheki status za unknown call
 
kiukweli bado nipo kwenye hali ya sintofahamu nikusaidieje
 
kaka blackberry yako ni model gani?...alafu unavyosema status za unknown calls unamaanisha zile calls ambazo ukipigiwa haionyeshi namba au? hebu elezea vizuri shida yako tujue jinsi gani ya kukusaidia...
 
Yap hizo hizo bb9000
 
kaka,jaribu kucheck call id yako kama umeenable au disable..ukiona iko enabled na bado unapata hilo tatizo basi tatizo sio hilo..cha kufanya ukiona namba inakupigia which is unknown kabla hujaipokea dial *31# ..hii kitu imeshawahi kukubali kwenye bb8320..hopefully kwako itakubali...
 
kama unahitaji internet ambayo utaienjoy vizuri, kuna njia mbili..ya kwaknza ni kwa kuwatumia internet providers ambao ni mtandao wako unautumia..watakuunganisha na BIS (blackberry internet services) ambapo hiyo service ni special kwa blackberry na ndo maana bei yako iko juu kidogo..njia nyingine ni kwa kutumia wi-fi. kama ofisini kwako kuna wi-fi connection utatumia hiyo connection..otherwise check huduma za bongo kwa watumiaji wa kawaida wa simu uone zikoje...mimi sipo bongo ila huku niliko naweza kuilipia blackberry hela ya kama simu nyingine sema tatizo nitakuwa nabrowse kwa kutumia opera na siyo browser ya blackberry,pia nakuwa nashindwa kutumia BBM,kuingia kwenye BB world ili kudownload na speed inakuwa siyo kubwa sana...kwahiyo njia za kukufanya upate internet ambayo inastahili kwa blackberry ni hizo hapo mbili tu...labda kama kuna mtu anajua nyingine atufungue kidogo..

shukrani mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom