Mwenye kufaham naomba aniambie hii ni namba ya namna gani.
imekuwa ikipiga kwenye namba yangu ya tigo mara kwa mara na siku tatu hz naona ni kila siku jioni, leo imeita asubuh.
kinachonishangaza...
Wanajamvi wa jukwaa la sayansi na technologia,
nimekuwa nikisikia kuwa, kuna mafriji ya Feni na Coil, hivi nini tofauti yake....??? kwani nilipochimba kwenye mtandao on how these stuffs works...
Nina server ya dell poweredge 1800 ilizima ghafla na baadae ikawa inabrink rangi kama ya njano hivi kila nikijaribu kuangalia tatizo silipati na mara ya kwanza ilifanya hivyo na baadae ilirudi...
mimi kwa sasa nipo dar maeneo ya yombo buza ,huku intanet ya airtel ipo slow mno yaani ni kama hamna 2!je tatizo ni hii moderm au eneo?kwani hapa dar mtandao usumbue?nimejaribu zantel ni gusa...
Wakuu mashine hiyo imezima kabisa na haitaki kuwaka baada ya ku-update BIOS. Aliyewahi kukutana na tatizo kama hilo tafadhali nisaidieni ufumbuzi wa tatizo kama hilo! Natanguliza shukrani zangu.
Kuna mtu anaweza kunipa msaada namna ya kujiondoa kwenye google search result let say kama unatitwa hamisi juma mtu akiandika asipate results zenye jina lako
:nerd:PYTHON PROGRAMMERS PYTHON PROGRAMMERS - JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Am inviting coders with experience in Python programming and anybody out their interested in learning Python...
Hii mashine 'Computer desktop Dell' nilikuwa nimeituliza bila kuiwasha kwa miezi karibu mitatu sasa. Leo nimeiwasha naona Screen yake inaleta chenga na mawimbi ya kufa mtu. Naona picha...
@Mods, uzi mtauweka kwene jukwaa muonalo linafit zaidi, mkipenda
Baada ya kuchoka na spidi za 'unlimited'
za 0.00 kps za Voda niliamuaga kuhamishia majeshi
huku Sasatel, kwa sababu mie ni mtu wa...
Wakuu niko kwenye NGO ya kuwawezesha watoto (YOSSO) na nahitaji kuiboresha design ya hii blog yetu iwe na muenekano kama wa blog hii (KILI CHILD EMPOWERING FOUNDATION (Kicef.)). Yaani iwe na pages...
Naomba ndugu zangu mnijulishe aina nyingine za Ving'amuzi vizuri maana hiki cha star times kimezidi MIKWARUZO.Mwanzoni kilikuwa safi,mara wakabadilisha Package,UHURU{ 18000} na MAMBO{...
Hivi karibuni Laptop yangu hai detect Sony Camera yangu kwa kutumia USB cable ambapo siku za nyuma ilikuwa ina detect. Kuna picha nataka kuzihamisha. Nimetumia card reader pia lakini sijafanikiwa...
Katika pitia pitia zangu katika web page tofauti tofauti youtube ikiwa moja wapo nimepa idea ya kuinstall android operating system kwenye computers...nikahisi litakuwa si jambo baya kama nita...
Experiments by researchers in Argentina have suggested that using wifi-connected laptop computers could affect male fertility.
In simulated tests, the sperm of 33 volunteers was negatively...
Forgot your Windows admin password?
Reinstall? Oh no... But not any more...
This is a utility to reset the password of any user that has a valid local account on your Windows system.
Supports...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.