Help me jamani kwa mara nyingine,My Nokia 6303

-- Inapokataa inaleta ujumbe gani?
-- Simu yako umeunganisha na WAP/internet?
 
Operamini 4 tu ndiyo inakataa kudownload? Ukidownload kitu kingine inakubali kudownload?
 
-- Inapokataa inaleta ujumbe gani?
-- Simu yako umeunganisha na WAP/internet?
Inaniambia hivi,Allow network access?(inakuja option ya yes or no)chini yake inakuja msg iii hapa,This application is not from a trusted supplier(ukibonyenza yes au No)inakuk msg hii hapa,Unable to connect to the internet please check your setting,ila simu yangu imeunganishwa na Internet ya Airtel,Mx
 
Kaka tatizo dogo hilo kuna simu nokia ukidownload file za jad (ambazo ni official toka website ya opera) yanakaataa so hapo una option 2

1) uchague certificate inayoendana na simu yako zinakua palepale kwenye web ya opera

2) kama njia ya juu ni ngumu inabidi udownload file la jar ambalo i hope litakubali try hii link hapa chini

opera 4
 
Ngoja nifanye,hivyo vp?umepata msg yangu kaka,Mx
 
Kaka tatizo dogo hilo kuna simu nokia ukidownload file za jad (ambazo ni official toka website ya opera) yanakaataa so hapo una option 2

1) uchague certificate inayoendana na simu yako zinakua palepale kwenye web ya opera

2) kama njia ya juu ni ngumu inabidi udownload file la jar ambalo i hope litakubali try hii link hapa chini

opera 4
bado imegoma aitaki ukifunguwa unakuta msg g iii hapa Allow network access?this application is not from trusted supplier ukichagua yes au no,inafanya kama inafunguka then inakata,inakwambia faild network
 
unatumia mtandao gani?
angalia upande wa internet configuration.nenda kwenye internet settings hakikisha umechagua configuration za mtandao wako.pia chagua access point.kama ni airtel au vodacom wap.au tgo etc.
 
natumia tigo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom