wanajamii nimeweka password jana usiku kwenye blackberry yangu alafu leo najaribu kuingiza inakataa kabisa nimeshafanya 9 atempt out of 10 nifanyeje naombeni msaada wenu
Jamani mimi nililipia subscription ya maisha toka 2006
Videos, documents kila kitu kimeondoka
naomba mtujuze whats the alternative
Pia namshauri Invisible atuletee contigency plan just incase...
Wakuu nina simu yangu aina ya black berry bold 8520 nikiiwasha inaniletea msg ya app error 523 reset,nimejaribu kufanya kila njia ikiwa pamoja na hard reset bado tatizo liko palepale ,msaada plz...
Here is a nice free resource in video format. Excellent for beginners.
appendTo Developer Learning Center | Map your Learning
While looking at the above, would also like to point you to...
Wakubwa naomba kama kuna anayejua vipimo vipya vya masafa star tv. Ni juzi tarehe 20 ndio nasikia wamehama. Natumia c band dish. Samahani kama nitakuwa nimekorogakoroga.
Guys hii ni kwl au kuna watu wantuzingua this is the ip claiming to be the next megaupload and that we should bookmark it cause they havent got a domain yet but are working to get back...
HUwa ina maana gani wanapo sema , Connectivity price was $3,000 - 4,000 per mega bit to now $50 - 60 mega bit Hizo ni price za Fiber Optic cable , Huwa ina maana nisha nini haswa na...
Wadau samahani,naombeni mwenye maujuzi ya jinsi ya kudownload utorrent kwa maana ya kuinstall kwenye computer yabgu anisaidie,au kama kuna mtu anajua software yoyote makini kwa ajili ya movies...
kwa wanaotumia mozila,explorer nk ebu jaribu kutumia opera ni safi sana
kitu kama unatumia computer za mac ,safi sana wakuu hata katika kuwnload ni safi kabisa
nimeipenda sana mimi
habari za kazi wakuu, Naomba msaada wa nokia x2 unlock code (T Mobile) Nimeletewa toka usa ina line ya T Mobile ila ikiwekwa line ya hapa inataka sim unlock code.
Canadian scientists are developing a robot that mimics the human face's expressions and human hand's tactile processes, which they say will be useful in areas like nursing, nuclear plant...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.