facebook?????????

facebook?????????

samkarume

Member
Joined
Feb 27, 2009
Posts
59
Reaction score
37
facebook site leo haifunguki, vinazunguka tuu kila niki refressh inakuaje jamani, help(f1) me
 
Sio leo tu mimi wiki nzima naitafuta siipati.

tumia simu.download ile application yao ya facebook mobile then ulogin kwenye ile application yao itakubali tu..kupata ile application yao ya facebook mobile ingia www.getjar.com then kwa kawaida ukiingia tu getjar.com ukishuka chini kidogo utaiona hiyo application.ila ikitokea hujaiona basi ukiingia getjar.com search facebook mobile itakuja hiyo application.then download.
ingawa haina features zote ambazo zipo kwenye browser, ila angalau utapata connection na kuweza kulogin facebook.kucheck notification,inboxes etc
 
labda ni connection tu kaka...kufunguka inafunguka kama kawaida
 
kwani mkuu unatumia pc au mobile? maana sisi tunaonaotumia mobile mbona kama kawaida ipo online...
 
jamani mm ni wiki na niliomba msaada hapa lakini ckupata mpaka leo aifunguki kwenye laptop yangu kwenye cm nafungua vzuri tu
 
Tatizo inawezikana ni mitandao, ambaye inamgomea anatumia mtandao gani, naweza kukusaidia swala hii nikuweka proxy tu kwshney!
 
Back
Top Bottom