plz help: Validating email account kwenye Blackberry 9780 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

plz help: Validating email account kwenye Blackberry 9780

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Brooklyn, Feb 8, 2012.

 1. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wakuu naombeni msaada, nikijaribu ku validate au ku edit au hata ku delete email accounts kwenye Blackberry yangu inaniletea error message 'The site cannot be accessed in this manner. Please use the URL or link provided to you by your service provider.'

  Naomba msaada wakuu wa namna ya kutatua tatizo hili. Aina ya simu ni Blackberry bold 9780.
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Do not underestimate the power of google
  Delete an email account. - Device Support - Support - Three
   
 3. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nimejaribu ku google na nikapata baadhi ya ushauri on how to fix the problem but ikashindikana ndo maana nikaja hapa jamvini.

  Kwa sasa nimeshapata solution na emails zimeanza kuflow as normal.
   
 4. j

  junior05 Senior Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kiongozi watumia mtandao gani..?
  Iko hivi
  Kwenye email setting kuna icon ambayo ukiilaunch inakupeleka kwenye link ya kumanage emails zako,lakini kumejitokeza tatizo la kupata hyo error especially kwenye 9900 BBS,cha kufanya kila mtandao wana weblink ambayo unaweza kuadd email kwa pc,itabidi utumie hyo kwa sasa,kisha utajitumia service books from there na zitaingia kwenye BB yako,then u r done
   
Loading...