Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Following the recent drive by the government/Ministry of Education to try and eradicate/get a handle on the never-ending saga on ghost workers, I got to thinking how an ICT based system can/could...
1 Reactions
1 Replies
941 Views
Wanajf wenzangu mambo vp? Naombeni kuuliza kwa wenye uzoefu wa kutumia nishati ya gesi kwa matumizi ya nyumbani kwa kupikia.Mahitaji yangu ni familia ya watu watatu mimi waifu bintinti wa kazi na...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
najaribu ku install avg 2012 free edition inanipa ujumbe huu TARGET DRIVE OUT OF DISK SPACE lakini hard disk yangu bado space ya 900mb.
0 Reactions
2 Replies
916 Views
chizicomputer sasa anatoa huma ya msaada kwa wale ambao wame lock iphone,ipad,ipod nipigie sio una nibeep 0712484995
0 Reactions
9 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?NR=1&feature=fvwp&v=qM-_qKkgb1E Kama hii inayofuata ni kweli!!!! http://www.youtube.com/watch?v=DHrSulXPYu4&feature=related
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii imekaaje? http://mawasilianoikulu.go.tz
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau natumia zain ila kuna wakat flan ukitumia huduma zao ukipres *102*6# wanasema umepewa 200mb to use 11hrs to 06hrs hv hz mb ni matumiz ya cm pekee au naweza tumia kwa comp pia!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tafuta options fungua ¬ nenda kwenye security ¬Bonyeza saved Password chini kulia ¬ Andika jina la tovuti na username kwenye sehemu ya kutaftia ya mtu unaetaka jua password yake kisha bonyeza...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
nnaomba msaada jamani mi nnatumia Opera mini6 lakini haitaki kusave pages kila nikisave inaniambia failed to save, cjui tatizo nini haswa. Napia ningeomba kujua kama kwa kutumia hii browser je...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakubwa hv kuna uwezekano wowote wa kuongeza kasi ya kudownload yaani kipindi uko kwenye process yenyewe ya kudownload somethng!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
On the ministry of education page, I have noticed that personal details i.e. exam results and teacher posting displaying the info in spreadsheets, Don't we have a privacy policy in TZ.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Now my PC is working properly kutokana na msaada wenu wa jana! may God bless u all!
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Facebook ikiwa ni nyumba ya online kwa mamilioni ya watu duniani, hivyo mabadiriko yanayotokea kwenye facebook ni dhahiri yanaathiri kwengi wetu. Katika siku za karibuni Facebook wamekuja na kitu...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
mitandao ya mawasiliana ya simu wakimbia kwenye mdahalo.hawaja tutendea haki wateja wao.kipindi ni kizuri fuatilia kwa kina zaidi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye kufaham naomba aniambie hii ni namba ya namna gani. imekuwa ikipiga kwenye namba yangu ya tigo mara kwa mara na siku tatu hz naona ni kila siku jioni, leo imeita asubuh. kinachonishangaza...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanajamvi wa jukwaa la sayansi na technologia, nimekuwa nikisikia kuwa, kuna mafriji ya Feni na Coil, hivi nini tofauti yake....??? kwani nilipochimba kwenye mtandao on how these stuffs works...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina server ya dell poweredge 1800 ilizima ghafla na baadae ikawa inabrink rangi kama ya njano hivi kila nikijaribu kuangalia tatizo silipati na mara ya kwanza ilifanya hivyo na baadae ilirudi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I have a dell computer optiplex 520. It is not booting, keeps on blinking nothing on the screen. Can any one help please
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mimi kwa sasa nipo dar maeneo ya yombo buza ,huku intanet ya airtel ipo slow mno yaani ni kama hamna 2!je tatizo ni hii moderm au eneo?kwani hapa dar mtandao usumbue?nimejaribu zantel ni gusa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu mashine hiyo imezima kabisa na haitaki kuwaka baada ya ku-update BIOS. Aliyewahi kukutana na tatizo kama hilo tafadhali nisaidieni ufumbuzi wa tatizo kama hilo! Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom