Naomba kufahamishwa kuhusu LPIC-1

Naomba kufahamishwa kuhusu LPIC-1

Gurta

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
2,233
Reaction score
537
Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hii kitu na baada ya kuipitia nimeona kama inaweza kunisaidia hivi. Mimi ni mtumizi wa kawaida wa kompyuta na siwezi kujivunia kujua zaidi ya 'basics' na nipo uraiani (as opposed being in school/college).

Naomba mawazo na uzoefu wa waliowahi kuifanya hii test,

1. Iliwachukua muda gani wa kujisomea hadi kuwa tayari kwa test?
2. Upatikanaji wa study materials uko vipi?
3. Certification hii ina nafasi gani katika ajira? Inatambulika hapa nchini?

Thanking you in advance.
 
Wakuu, hii kitu imekuwa mpya kwenu pia?
 
Back
Top Bottom