Picha hazionekani

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
ninayo digital camera yangu aina ya cannoin na zina picha nilizopoiga ila kitu cha ajabu ni kwamba nikitaka niziangalie na kuzistore kwenye laptiop hazionekani ila kwenye camera zinaonekana kwa yeyote mwenye ujuzi plz naomba anidirect nifanye nini ili niweze kuzistore kwenye laptop
 
unattumia cable kuzihamisha au unatumia memory card? jaribu kati ya hivyo vitu viwili
 
ninayo digital camera yangu aina ya cannoin na zina picha nilizopoiga ila kitu cha ajabu ni kwamba nikitaka niziangalie na kuzistore kwenye laptiop hazionekani ila kwenye camera zinaonekana kwa yeyote mwenye ujuzi plz naomba anidirect nifanye nini ili niweze kuzistore kwenye laptop

inawezekana zimekuwa hidden so ukiwa kwenye computer nenda kwenye folder option/view/show hidden files then click apply alafu ok...ukimaliza hapo rudi kucheki kama zipo..kama zilikuwa hidden utaziona..kama hujaziona basi angalia njia unazotumia kuconnect. kama ulikuwa unatumia memory card badili chomeka kwa cable alafu angalia results...
 
sio tatizo lako ni kutokuelewa umuhimu wa maaifa au kuelimika
 
inawezekana zimekuwa hidden so ukiwa kwenye computer nenda kwenye folder option/view/show hidden files then click apply alafu ok...ukimaliza hapo rudi kucheki kama zipo..kama zilikuwa hidden utaziona..kama hujaziona basi angalia njia unazotumia kuconnect. kama ulikuwa unatumia memory card badili chomeka kwa cable alafu angalia results...

zilikuwa hidden nimezi unhidden but imekuja kitu kinaitwa .HPIMAGE.VFS na nikiopen inaniambia window cant open thiis fiile sasa sijui nifungulie na programme gani file lenye format ya .VFS unafungulia kwa progrmme gani?
 
nimeview hidden files ila sasa limekuja folder linaitwa .HPIMAGE.VFS nimejaribisha kufungulia kwa picasa imeshindikana anymore help plz kama inawezekana
 
ignore the .HPIMAGE.VFS file. Just angalia utaona folder linaitwa DCIM.kama umeunhide hidden files bado hulioni basi also unhide operating system files
 
Memory card imeingia virus. ilikuweza kuziona computer unayotumia lazima iwe conected na internet hapo unaweza kuziona na ziburn fasta kwenye CD
 
nipo connected na internet nazionaje?
 
ignore the .HPIMAGE.VFS file. Just angalia utaona folder linaitwa DCIM.kama umeunhide hidden files bado hulioni basi also unhide operating system files

kama bado unaliona file hilo tu basi tumia winrar kufungulia.au power iso au any program ambayo inaweza kuextract compressed file
 
usihangaike, tumia Winrar au PowerIso ku browse picha zako, winrar itakuonesha kila kitu kuanzia izo picha zilizofichwa mpaka virus na kila kitu kilichomo.
 
Ok wait wait people hehe linawezekana ni swala dogo tu! Kwanza katka camera hzo pcha zko stored kwenye camera yenyewe au zko stored katk memcard.. Toa memcard alafu chk kama pcha zpo kwny camera.. kama zpo then inshu ni kwamba camera yako umeiset ikiwa connected na pc ionekane drive ya memcard tu.. Thus kama ni tupu ndo maana hazionekana.. If this is the issue copy pcha zote kwny camera yako kwenda kwny memcard then ztaonekana!
 
zipo stored kwenye mem card cz nikiitoa hazionekani na inaniambia no mem card found
 
Ok kama zko kwenye memcard jaribu kufanya kinyume ya hio solution nltoa apo juu.. Copy picha kama 2 hv kwenda kwenye storage ya camera then chk tena kwny pc kama znaonekana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom