The best satellite receiver

sokolaboro

JF-Expert Member
Dec 1, 2011
313
54
Wadau naomba mnijulishe mimi natumia MediaCom mft 910 +New Je kuna Satellite recever aina nyingine ambayo kwamba naweza kupata Tv channel nyingi kuliko niliyo nayo? Naomba kufahamishwa kwani nataka kununua nyingine.
 
Back
Top Bottom