Naomba msaada, Laptop inasumbua!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada, Laptop inasumbua!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by SONGEA, Feb 6, 2012.

 1. SONGEA

  SONGEA Senior Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina Laptop Compaq nc6120, niki-connect kwenye power (Umeme) inastack au kuwa slow mno, nikiitoa ina-perform kawaida. Hivyo nalazimika kuicharge kwanza kisha natoa kwenye umeme na kuendelea kutumia kawaida. Naomba msaada, tatizo ni nini na nifanyaje ku-enjoy matumizi ya Laptop yangu??
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hiyo Adapter ina shida mkuu, nenda dukani na hiyo Laptop yako waambie wakupe adapter kama hiyo yako Test kama inafanya kazi ikikubali chukua ikikataa basi huenda Motherboard ina shida.

  Hili Tatizo sijui ni kwanini linawakuta User wengi wa Compaq...ukiangalia kwenye Google user wengi wa Compaq ndio wenye tatizo hili!!
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Bila shaka kutokana na maelezo yako inaelekea wewe unatumia Windows 7 na tatizo lako sio adapter bali tatizo lako liko katika power options. Inabidi uchange power options kwenye windows 7 yako ili iweze kuperform vizuri ukiconnect na adpter. Ni Pm ili nikuelekeze jinsi ya kuchange hizo power options
   
 4. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  Naungana na wakuu hapo juu

  anza na hii..
  ikishindikana fuata hii..

  Pia ni vizuri tukajua tatizo lilianzaje kama unaweza kumbuka ilikuwaje ikaanza ku-behave hivyo

   
 5. SONGEA

  SONGEA Senior Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank you for response!!
  NAtumia The same adapter kwenye Compaq nyingine (compaq 610) na inaperform vizuri. Laptop zote zinatumia Win XP
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu kuna uwezekana mkubwa kuwa unatumia "Power save Mode" kama ni window Xp click Start >> Control Panel >>Power Option >> hapo kwenye "Power scheme" badilisha weka Default au Recommended au angalia setting za Power Option kwenye hiyo Compaq nyingine inayopiga kazi....!!
   
Loading...