Jaman leo nimekutana na topic ya gorofa kutokuwa na floor number 13, ndo nikakumbuka kuwa kweny simu nying kuna alama katika namba 5 mie natumia Nokia nadhan hata simu nyingne zina hii alama au...
A key fell off the laptop keyboard. Fixing the problem.
One or more keys fell off the laptop keyboard and you are not sure how to put them back? Dont worry, most likely you can fix the...
wakuu hili tatizo linanikera sana. yaan ipo yang ya 30gb imekua slow sana kurespond adi natamani kuipasua. unaweza ukaselect mziki ukashangaa una play baada ya dakika tano. au inaweza ku stuck...
NIMENUNUA hp pavilion dv2000 ikiwa na win Vista,nikaitoa na kuweka WIN 7,baada ya hapo matatizo ya ku hibarnate yakaanza kutokea,nikiwa natumia mara ghafla inazima,nikiwasha ina resume na smtm...
Wandugu nina ka mini laptop nilikanunua na Window XP na sasa nataka kuweka Window 7 Professional ambayo nina DVD yake niliyonunua nayo na computer nyinge ya ya Dell 780
Sasa nataka fanya upgrade...
salama wakuu? mimi natumia samsung ch@t2222 au unaweza iita gt e2222. kasimu kangu haka kapo poa kwenye mambo ya net ila tatizo limeanza kujitokeza la slow connection. natumia opera mini,kuna mda...
Amazon is set to join the tablet wars on Wednesday as it launches a rival to Apple's best-selling iPad, a device that has made digital tombstones of all the competition so far.
The online...
wadau nina dvds zangu za movies collection mbili ambazo nimekuta zimefutika ile material ya silver ndani yake ambayo ndio hasa inayohifadhi kumbukumbu, kwa hiyo ukiweka kwenye player haisomi kitu...
Jamani mwenye kufahamu iwe duka au mtandao ambao naweza kupata Laptop aina ya DELL kwa TZS.700,000/= yenye RAM minimum 4GB na kuendelea, screen size 14 inch na kuendelea, webcam, bluetooth, WIFI...
Hellow,
ningependa kufahamu any Ideas,process etc jinsi ya kuwa omba hao jamaa watangaze kwenye website yako binafsi ambayo ina mvuto na wateja wengi na HITS nying per day!!?
Na hizi namba za...
Hivi majuzi ceiling fan limekorofisha ,out of curiosity nimelifungua kwa lengo la kujua tatizo. Nilibaini coil zimeungua kabisa(jumla ya coil 28 ie miviringo miwili kila mviringo coil 14). Kwa...
Nimehangaika sana kuresolve hii inshu, help plse
Dell Studio 1536
64 bit-ingawa naistall linux 32 bit
Ubuntu 10.10 Ultimate Edition(UE), napata hii message
BusyBox v1.10.2 (Ubuntu...
wakuu habari zenu,
kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata software ambayo naweza kudownload website nzima, ambayo baada ya ku i download website hiyo naweza nika peruzi hata nikiwa sina...
Nina laptop (Win 7 home premium) hapa alikuwa anaitumia mdogo wangu, sasa ikaanza kustack tu bila sababu. sasa nataka kubadilisha OS installation nayo inagoma ikifika kwenye expanding files...
Habari zenu wakuu. I know hapa ndani kila kitu kina majibu. I want to be a software developer so nauliza hapa kwetu bongo which is the best college which can guide me to my dream career. Nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.