msaada please wa website

msaada please wa website

NGOGO CHINAVACH

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
943
Reaction score
373
nataka kufungua social network website kama facebook, tagged, interpal e.t.c but sijui requirement wala procedures.
 
do you even know how to create a simple website mkuu? au na wewe unataka uanze kuendesha gari bila kujifunza eti tu sababu umemuona dereva anavyo change gear wakati wa kuendesha gari!??
 
Ngoja nikushauri ndugu yangu,
Tafuta mtu specialist wa hiyo secta(ICT)..uwekeze kwake..bt sio wewe ufanye kwasababu it s proffesional task. Sio rahisi kama unavyodhani coz dah..rangi ya blu kiucreate tu unajua code zake?
utadata aisee,Acha mganga,agange aisee!
 
huwezi jua mkuu, labda anafahmu kidogo kuhusu web designing sasa anataka kupiga hatua mbele (kutoka darasa la pili kwenda form 4)..mi sijui ndo maana nikauliza kama anayajua hayo...
 
Back
Top Bottom