Nahitaji TV Tuner

Nahitaji TV Tuner

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,061
..Wanajamvi hili naomba Naomba mnijuze, nahitaji kununua Tv Tuner, naomba mnielimishe aina zipi ni Nzuri na Range ya bei zake.
Thanx in Advance.
 
Usinunue zile za kuchomeka kwenye usb port. Huwa zina matatizo mno. Haziko stable.

Nunua za PCI au PCMCIA. Models ni nyingi sana lakini ni za kichina.

Kama utapata za kitaiwan au za kikorea ni afadhali.

Imefahamika kuwa application na drivers zao haziwi supported murua na windows. Jaribu tu, japo huwa zinafeli sana. Itabidi kila ikefeli unainstall upya! Kuna kipindi kama wewe si mtaalamu mzuri wa comp. itabidi uwe unaformat mara kwa mara! Pathetic!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom