Njia gani unaweza kuwa omba makampuni kama ya tigo,voda watangaze kwenye website yako!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia gani unaweza kuwa omba makampuni kama ya tigo,voda watangaze kwenye website yako!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by SHAROBALO, Sep 23, 2011.

 1. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Hellow,

  ningependa kufahamu any Ideas,process etc jinsi ya kuwa omba hao jamaa watangaze kwenye website yako binafsi ambayo ina mvuto na wateja wengi na HITS nying per day!!?

  Na hizi namba za 15507 etc ambazo mtu binafsi anapewa na makampuni ya simu unaziprocess vipi!!

  ni hayo tu!!
   
 2. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kaka umeulıza swalı zurı sana,idea kama hyo nınayo na mımı natafuta mdhamini wa blog yangu.lakin mm nafıkırı kwamba unaweza kuandıka barua au ukatengeneza vipeperushi venye lınk ya websıte yako then unawatumia,alafu unawapa ofa kwanza ya kutangaza bure then unaacha kama muda wa mwezı 1au 2
  then ukıona muda unakarıbıa kuisha unawa alert kuwa muda wa kutangaza bure kwenye blog unakaribıa kuisha then pale kama wakıvutiwa na web au blog yako unaanza kula mkwanja na ukapata wadhamını
  check
  hapa blog yangu
  GSHAYO
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  As of Kutangaza kwenye site yako naona waone promotion departmet zao watakupa jibu zuri zaidi (straight from the horses mouth...) as of hizo namba zinaitwa switch codes.., kwahiyo inabidi upate a switch code provider..., ambapo atakupa a keyword yako ambayo mfano unauza miziki ya ku-download watakupa utumia keyword ya muziki..., hivyo basi watu wakituma hiyo message wanakuwa charges a premium rate lets say tshs 500/= sasa hawa switchcode providers (middle men) watatoa percent zao; watawapa mobile phones operator za kwao na tcra za kwao mwisho wa siku utabaki na about 25% depending on your volume and bargain...,

  Kuna njia mbili wanaweza wakakupa limit ya kwamba kwa mwezi utumie sms kama 3,000 na hapo hakuna upfront fees yaani wanakata cha kwao baada ya watu kutuma message.., au unaweza ukanunua upfront kiasi cha sms kwa mwezi na kuwalipa au na wewe kuwa reseller au broker na kuwauzia wengine...,

  Kwahiyo mkuu tafuta short codes provider hapa bongo au east africa nadhani itakuwa cheaper au kama unataka kuwa shortcode providers unaweza ukaongea na kampuni kubwa ukawa reseller wao
   
 4. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wazo lingıne zuri mkuu pamoja sana.
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Sep 24, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  ni vigumu kwa blog yenye visitor chini ya 2000 kwa siku na clicks chini ya 10,000 kuweza kupata matangazo moja kwa moja ila mimi nina wazo laweza kuwasaidia.

  Kama kuna wana it wazuri wanaoweza kutengeneza publishing and advertising website wao wakawa wanachukua tenda and then wanawapa nyie manake mtandao huo huo hautaweza kushughulika na nyie wajasi mpo weng sanaaa
   
 6. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mmh! Kaka unakatisha tamaa bt asante kwa ushaurı
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu mbona umewahi kusema tamaa..
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Sep 25, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  kwan lazma hao tigo? Mbona makampun meng tu yalipa? Jiunge adsense admob mojiva buzzcity hitcross wote wanalipa kama hivi

  viwango vyote kwa dola.
  1.yale matangazo ya yesu na yanayofanania kila click 0.01
  2.matangazo ya kampun kama nokia au gameloft ya text(bila banner) 0.03
  3.yenye banner 0.04

  then kuna other ways ya kuearn money ni hawa jamaa wa shorten url ukiwaletea visitor elf 10 wanakupa dola 5

  pia makampun ya downloads kama ziddu.com kila kitu unachoupload kikidownloadiwa wanakulipa

  njia zipo nyingi sana but uwe aware na fake ni nyingi google awe rafki yako
   
 9. MtuMmoja

  MtuMmoja Member

  #9
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Dah kwangu mimi ni hao visitors!!ila ckati tamaa!
   
 10. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kaka kupata hao watembeleajı wenyewe hao kwa siku.
   
 11. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  tutazingatia ushauri wako kaka.
   
 12. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  makampuni makubwa huwa naangalia mitandao yenye users wengi.... sasa kama una users wa kutosha nenda ukawashawishi kitengo cha Advertisement
   
 13. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  THANKS MKUU so kwa hapa Tz naweza kuwapata wapi au unaanzia wapi. so kumbe ni separate entity na hawa wenye mitandao?! nilidhani wao ndio watoa code
   
 14. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  I have the same idea na hii pay per click kwa tanzania ni program nzuri ila wataalamu wetu wameshindwa kuaangalia hilo. mfano mtu awe anakusanya matangazo halafu wenye site mbali mbali wawe wana weka link kwenye site zao pale mtu aki click may be kufungua page anakutana na tangazo kwanza then anakuwa redirected kwenye page husika. so blocker ana waliper wenye site kwa clicks per day mfano kunasite moja hivi wanaliper 4 usd per 10000 clicks. na blocke awe analipwa na wenye matangazo per mega clicks za site zote!! sijui watz hatufikilii hili?
   
 15. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Usikate tamaaa no pain no gain..ihii itakuwa changamoto kwa wenye websites kuongeza juhudi za kuvutia watu wengi kwa siku. mfano mimi na pata 300 visitor per day na weekend huwa inazidi so kuongeza idadi inabidi u sweat zaidi uongeze vitu ambavyo watu wanavihitaji kila siku na sio vya musimu...
   
 16. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  So hapo unaandika proposal au unakwenda n ipad yako kuonyesha site yako na proof kuwa visitor ni wengi per day. Unaweza fafanua step kwa step mfano walio fanikiwa kwenda makampuni ya hapa tz.
   
 17. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Cheki hawa jamaa ingawa binafsi siwajui nime-google utapata contact zao na unaweza kuongea nao kumbuka always to bargain na sio lazima kutoa upfront fees kama una uhakika wa wateja watakupa minimum amount ya sms za kutuma kwa mwezi na wenyewe watakuwa wanachukua commission yao katika kila sms na kuwapa mobile phones zao na wewe zako

  Push Mobile
   
 18. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  contacts zao
  Freddie Manento
  Interim Managing Director

  Push Mobile Media Limited
  P.O. Box 11133
  5th Floor, Barclays House, Ohio Street
  Dar es Salaam, Tanzania
  Mobile: +255 786 202 205
  Email: Freddie.Manento@push.co.tz
   
 19. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ngoja tutajarıbu kuwasiliana nao
   
 20. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Thanks mkuu ngoja niwacheki kwanza
   
Loading...