Tazama soka (uk premier league,la liga,serie a,bundesliga,champions league etc)

Lussadam

JF-Expert Member
Oct 13, 2007
1,294
835
Vp wazee, bila shaka mpo powa. Kwa wale wapenda soka (na michezo mingine pia na vipindi vingine), kama una internet ya uhakika (kama yangu) unaweza pata soka ( UK Premier League, La Liga, Bundesliga, Serie A,France,Holland ,Champions League etc) kwa kutumia software ya sopcast. Just download hapa ( SopCast - Download ) na just fungua na login as anonymous or just create an account. Utapata channels kama M&M 1,2,3,4,5,6,7,8,9, CANAL FUTBO, Digi Sports 1,2,3 etc na kutazama soka bila zengwe. Just try it and you will never regret. All ze best pals..
 
mkuu nimechemka nimedawnnload nimejalibu kuregistry inataka niwe na visa card jee? kama sina card nifanyeje?
 
Huna haja ya kuregister, kuna options mbili. kuregister au ku just login ambapo itakulogin as anonymous. wewe click login bila kuregister
 
Kwa muda huu SopCast M&M 1 wanaonesha Arsenal v AC Milan na M&M 6 kuna Birmingham v Chelsea; live bila chenga
 
Vp wazee, bila shaka mpo powa. Kwa wale wapenda soka (na michezo mingine pia na vipindi vingine), kama una internet ya uhakika (kama yangu) unaweza pata soka ( UK Premier League, La Liga, Bundesliga, Serie A,France,Holland ,Champions League etc) kwa kutumia software ya sopcast. Just download hapa ( SopCast - Download ) na just fungua na login as anonymous or just create an account. Utapata channels kama M&M 1,2,3,4,5,6,7,8,9, CANAL FUTBO, Digi Sports 1,2,3 etc na kutazama soka bila zengwe. Just try it and you will never regret. All ze best pals..

Mkuu Kuna option nyingi za kutazama mechi online . . Hii ya kuinstall Sopcats ili kuona mechi ilikuwa ya zamani. Sasa hivi huitaji kuistall sofware kutazama matukio live au TV live.
  • Kuna streamig website kama Justin.tv au ustream.tv na nyingine nyingi hizi unweza kuona mechi japo nao siku hizi sababu ya copy right sometime wanabana
  • Kuna website kama mypremium.tv/ na AtdheNet.tv Nazo utaona mechi. Zipo nyingine nyingi tu

Hivi kuangalia mechi nzima unatakiwa uwe na MB ngapi?

Unaweza hata ukawa na MB za kutosha ukashindwa kuona sababu ya Download speed kubwa inayotaiwa kuona mechi . live . Mfano hata kama una IGB lakini download speed anayotoa ISP wako ni chini ya 120KB/s basi huwezi kufaidi mechi online

Kuhusu swali lako hakuna jibu specific utatuimia kiais gani . itategema na ukubwa wa screen inayoonyesha mechi(Resolution) na mambo mengine . Lakini nadhani atleast 500 MB zinaweza kukuwezesha kuona 90min ya live streaming

Fanya research . install bandwidth monitor Tazama mechi live
 
broadcast nyingi za sopcast zina quality ya HD, na transmission huwa haikatikatiki ukilinganisha na web-streaming, ukiwa na bandwidth ya kutosha sopcast ndio yenyewe, ila MB zako lazima ziungue sana, 1st half (45 mins kwa soka) ni approx 300MB, as compared to web-streaming (poor quality) mechi nzima unaweza tumia average ya 120MB.
 
Back
Top Bottom