Nitatumiaje CDMA moderm kwenye Android kupata network? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitatumiaje CDMA moderm kwenye Android kupata network?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MVUMBUZI, Mar 9, 2012.

 1. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Naomba msaada mwenye kujua application nitakayoweza ku -install kwenye android yangu ili kupata internet connection kupitia CDMA moderm. Kwenye PC tuna Mobile partner je kwenye android ni application gani nitumie?. Please I need your help
   
 2. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ki ukweli suali lako mimi cjalielewa, unaweza fafanua vzuri?

  Android yako kitu gani? simu, tablet or what? Couse Android ni operating system inayotumika on more than one type of devices
   
 3. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  AU umemaanisha. wataka upate internet connectivity kwenye android device yako kupitia pc? i Mean you want to share connection kutoka kwenye pc yako?
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Mvumbuzi
  Android yako ni modem tosha ya kupata direct internet na pia kama ina capability ya tethering you can connect other devices such as laptop
  Pia kumbuka hiyo modem yako ni CDMA wakati simu yako ni GSM, hapo yite ni magari lakini jingine petrol na jingine diesel
   
Loading...