Msaada jinsi ya kukamilisha thred mpya jamii photo!

Msaada jinsi ya kukamilisha thred mpya jamii photo!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Niliandika title afu pale chini sehem ya msg nikaatach picha katika kupost ikaja msg kuwa your msg is too short you should add six character nikajaribu kuongeza neno kwenye title still ikawa bado inasema short je nifanyeje ili nikamilishe thred itakayokubali kupost katika jamii photo?
 
ipe maneno hiyo picha ulioiattach ndio inacho kuambia na sio title mkuu natumai umenipata..
 
Back
Top Bottom