Wizi wa internet na makampuni ya simu

Wizi wa internet na makampuni ya simu

fisadimpya

Senior Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
191
Reaction score
103
Kama unataka kupima kiasi cha bandle uliyonunua unatumia yote, download software ya kupimia airtel tigo wanapiga panga mbaya, download broadband monitor.
 
kama unataka kupima kiasi cha bandle uliyonunua unatumia yote download software ya kupimia airtel tigo wanapiga panga mbaya,download broadband monitor

usisahau kujumlisha na uploads. Maana hizo mb za bunndle zinatumika kudownload na ku upload
 
usisahau kujumlisha na uploads. Maana hizo mb za bunndle zinatumika kudownload na ku upload
it is very true chief mara nyingi tumekuwa tukisahau kuwa huwa kuna uploads na hivyo huwa tunabase sana kwenye downloads.
 
Back
Top Bottom