Nahitaji kuconnect modem yangu via linux | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kuconnect modem yangu via linux

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by dfreym, Feb 10, 2012.

 1. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wana jamvi naomba msaada wenu, nahitaji kutumia modem yangu ya tigo (zile za zamani) au voda zte k3571 katika kuunganisha internet ili niitumie kwenye linux, nifanyeje, nisaidieni,
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu kusema tu linux haitoshi
  hebu jaribu kuwa more specific ni os gani ya linux unatumia usaidiwe
   
 3. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  natumia ylmf (ni ya wachina), inataka kufanana na windows
   
 4. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,374
  Trophy Points: 280
  Linux na ubuntu, unaweka modem tu, then inaconnect. Hamna haja ya uingiza program kama kwenye window na mac. Ni easy kwenye linux na ubuntu.
   
 5. G

  Ginner JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Msheshimiwa ningependa kukupinga kwa ilo......kama ni mtumiaji wa ubuntu version chini ya 11.04 lazima utakutana na hii shida....huwa hazi detect modems unless u download n install wvdial...
   
 6. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,374
  Trophy Points: 280
  ni kweli ndugu yangu, ila nakushauri utumie ubuntu 11.10, wamerekebisha hilo, yaani unaweka modem tu, then unachagua nchi na mtandao basi, hakuna instalation, kama unatumia tigo, nenda manual setting, its simple. Just set dialing number, voda, zantel, airtel... Tayari wameziwekea dialing code zake, kama unataka mitandao mingine pia kuna choice ya kufanya manual setting. Sio kama window unaweka program kila modem. Mi ni mtumiaji wa ubuntu kwa mwaka mmoja nao, sijapata tatizo na naipenda kuliko windows. Kama utashindwa mimi nitakuelekeza.
   
 7. G

  Ginner JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  nina new edition ya linux inayokuja na drivers zote muhimu pamoja na programme zake zote muhimu zaidi ya mia moja.ni pm kama unazihitaji
   
Loading...