Msaada wanajf

ukiwa below Win 7 waeza pata shida kupata accurate driver itayofaa katika machine yako

cha kufanya ni nenda kwenye Device Properties, capture jina la Sound Card, then ingia google search kwa syntax hii

<sound driver card_name OS_version HP>

glance kila result uliyopata, ukijaribu kudownload na kuinstall, hope full utaipata yenyewe

tegemea sana site yao HP, hapo kuna categories na OS na sound_card


all the best
 
thanx mamlook.but hakuna any link yeyote ambayo ni rahisi kupata hizo driver?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom