Mkuu inauwezekano wa kupona kabisa, yangu ya SASATEL mtoto aliitumbukiza kwenye kiombe cha chai ikazama yote......Nilichofanya niliifungua nikaianika juani kuanzia asubuhi hadi jioni nilipoirudishia kitu kina piga mzigo kama kawaNext time kifaa chochote cha umeme kikiingia maji kama kina betri toa kama kipo kwenye umeme disconect fasta ,kisha unahakikisha unakikausha kwanza kwa ukamiilifuKuendelea kuichomeka kwenye pc wakati bado haijakauka inaweza kupelekea ikapata shoti ikawa mwisho wake