Naombeni msaada Simu yangu ni NOKIA C3 na itatumia OVI NOKia SUITe ili kuitumia Kama Modem lakini kila nikiconnect kwenye NOKia SUITE application ili niitumie kama Modem Inakaataa msaada jamani!!!
Umeconect simu katika pc suite mode? Maana media storage huwez tumia net.
ndio kama kaka nimeconnect ila yangu haina PC suite Mode Ina Ovi Nokia suite but kila Niki connect inaandika Host Not found sijui tatizo liko wapi!
simaanishi software ya pc namaanisha simu nenda setting then connection then angalia simu yako ipo kwenye mode ipi kama ni pc suite, au media transfer
hivi nokia bado zipo , uza hiyo mkuu buy a real phone ... :lol:
Hapo huwa inakuwa pc suite ambapo kwangu inaandika Ovi nokia suite na ndipo tatizo huwa!!!!!