Ni jinsi gani ninaweza ku embed .pdf document katika windows.Form page?
Swali lako halijaeleweka mkuu. Tafadhali naomba uelezee kwa kina ili tujue jinsi ya kukusaidia
Scenario#1:
Kuna application (software system) ambayo naweza kutumia API zake kutengeneza new add-ons.
Tasks:
1.Tengeneza add-on kwa kutumia language/platform yeyote ile ambayo ni COM compliant(kwa maana ya kwamba C#, C++, ...zipo applicable ktk hii context).
Add-on hii iwe na GUI, moja ya items ktk GUI hiyo ni a button, ambayo USER akibonyeza itawezafungua file(stored in a working directory/database) lolote lile kati ya hizi hapa(.pdf,.txt,.swf), file hilo lionekane likiwa ndani/katika/limebebwa na container( container hii iwe implemented either kwa micrsoft.windows.forms application or microsoft asp.net web page). Container hii iwe kama file placeholder.
2.Tengeneza new application itakayoonesha (import any 3D graphics/animation from any source na uweke katika pdf file) 3D graphics kwenye .pdf document(options..unaweza tumia open/non-open libray kufanikisha task hii)
Note:
Task #1 & #2 hazifungamani.
Current state:
1.Nimefanikiwa ku-code task#1, lakini container niliyotumia ni IE..Microsoft Internet Explorer(SIO windows.forms page or asp.net )
2.Nimefanikiwa task #2 sijafankiwa.
by Hadoop.