Nitatumiaje CDMA moderm kwenye Android kupata network?

Nitatumiaje CDMA moderm kwenye Android kupata network?

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
5,182
Reaction score
2,330
Naomba msaada mwenye kujua application nitakayoweza ku -install kwenye android yangu ili kupata internet connection kupitia CDMA moderm. Kwenye PC tuna Mobile partner je kwenye android ni application gani nitumie?. Please I need your help
 
Fafanua swali lako, unategemea kuconnect vipi hiyo modem na simu ya Android?
 
Back
Top Bottom