Msaada plz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada plz

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MTU MREFU, Mar 8, 2012.

 1. MTU MREFU

  MTU MREFU Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kuna uwezekano wa kurudisha data nlizofuta kwenye recycle!
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ndio upo uwezekano tena kama umezifuta karibuni na loaction adress ya ziipo haijawa overwitenn na fie lingine. So stop using u re computer kuandika au usave new files. Anza process ya kurecover. Soma hapa. Zipo sofware nyingine nyingi tu unaweza google nyingine inaitwa Rocer my files
   
Loading...