Wakuu naombeni msaada, nina flashi yangu ndani ina mambo mengi ila nikitaka kuyafungua hayaonekani ila yanaonekana ktk computer moja tu, nifanyeje ili niweze kuyaona (Hidden files and folders)
kuna laptop cjui nimebonyeza wapi nlipokua nafungua internet basi imekuja language ambayo hata sielewi..naomba mnielekeze setting mana nashndwa kufungua gmail wala chochote..msaada wenu plz
IDM ikianza kudownload kuna kimessage kinasema ''A socket operation was attempted to an unreachable network, This usually means the local software knows no route to reach the remote host''.msaada...
wakuu kwenye hii simu yangu ya E2222 kuna option ya ActiveSync ambayo unaweza sync contcts zako kwenda kwenye serva incase of phone loss unaweza kwenda kwenye pc ukalogin naku retrieve data zako...
Wakubwa mambo vp?
Natumaini wote wazima.
Ndugu zangu nina tatizo kuhusu kuchakachua modem ya huawei e153,huwa napenda kutumia huawei modem unlocker ya temporaly,sasa pc ambayo natumia ni service...
ok guys kuna wale watu wapo vyuoni au makazini then unakuta kuna website flan flani zimekua blocked. Mfano udom pale facebook ipo blocked so kwa kutumia trick hii uta unblock hizo website
Kama...
jamaan hizi ndo detail za modem yang nsha jalib ku unlock inmenshinda nsaidien
selection :
manufacturer - Huawei modems
model - Huawei E153 (Tigo Tanzania)
Found modem : E153
Model...
Wakuu naomba ufafanuzi kwani hii modem yangu ya Airtel wakati mwingine
inasomeka EDGE Airtel Tz wakati huo Modem inawaka taa ya kijani na inakuwa
slow sana lakini ikiwa HSDPA inawaka mwanga wa...
wakuu naomba msaada hapa,
nina subaru forester 1998 model,taa ya check engine kila wakati inawaka na kuzima,imeanza week iliyopita,tatizo litakuwa ni nini??je kuna madhara gani naweza pata ndani...
Repair Your USB Driver Problems
After a USB device is "safely removed"/un-installed Windows hides the drivers. These hidden drivers may cause conflicts with other USB devices when they are...
Detect Hidden Trojans on Your Computer
Learn How to Detect Hidden Trojans/Viruses/Keyloggers on Your PC
Are you beware that there is a hidden Trojan, Virus or Keylogger working on...
Ndugu zangu naomba mnisaidie computer yangu inaleta msg hii ninapoiwasha "The application failed to initialized properly" (0 x 80000003) na haiendelei tena na kuload icon za desktop
Simu yangu ni NOKIA 2690.Kama ilivyokawaida kwa simu za kisasa,simu yangu ilikuwa na calculator nikaiweka kwenye shortcut key kwenye right click. Jana nikawa nafanya simple calculations ikaadika "...
Ndugu wadau wa jamvi hili, naomba msaada kujua kama kuna njia ya kuset password katika folder. Kama ipo inawekwaje? Tafadhali kwa mwenye taarifa share na sisi maujanja.
jinsi ya kumgundua mtu aliye jificha kwenye yahoo messenger yahoo invisible tumia yahoo cheker utaweza kumjua kama yuko on line au off line ingia hapa Yahoo Invisible Checker can Detect...
Jamani wataalamu naomba msaada nimedownload game ya ferrari virtual race.sasa nataka ku play inaniambia error graphic adapter does not support minimum requirements! Natumia aspire one d255 memory...
Zenu wakuu?
Naomba kama kuna anayefahamu namna ya kuongeza uzalishaji wa mahindi shambani kwa kutumia mbolea asili ya miti iitwayo "Fertlizer Trees" anisaidie.
Hii miti huwa inabadirisha...
Kumekuwa na tabia ya watu
wanapopokea simu huigeuza
na kusikilizia nyuma hii ni
hatari.
Mionzi ya mawimbi ya umeme
ambayo hugeuzwa kuwa sauti kutoka katika mnara wa simu
hupokelewa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.