Ntawezaje kueka english language kwenye laptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ntawezaje kueka english language kwenye laptop

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by moyo wangu, May 22, 2012.

 1. m

  moyo wangu Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  kuna laptop cjui nimebonyeza wapi nlipokua nafungua internet basi imekuja language ambayo hata sielewi..naomba mnielekeze setting mana nashndwa kufungua gmail wala chochote..msaada wenu plz
   
 2. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  czan kama kuna mahusiano kat ya pc settings za language na za browser.jaribu kuingia HAPA labda itasaidia
   
Loading...